VIDEO: Emmerson Mnangagwa aapishwa kuwa Rais wa Zimbabwe

434
0
Share:

Aliyekuwa Makamu wa Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa ameapishwa rasmi kuwa Rais wa Zimbabwe baada ya aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Robert Mugabe kujiuzulu.

Share:

Leave a reply