VIDEO: Highlights za mchezo wa Mali na Tanzania kwenye CAN-U17

825
0
Share:

Timu ya vijana ya Tanzania chini ya miaka 17 (Serengeti Boys) jana Mei, 15 imecheza mchezo wake wa kwanza kwenye mashindano ya Mataifa Afrika kwa wachezaji wenye umri chini ya miaka 17.

Kwenye mchezo wake wa kwanza Serengeti Boys imepambana na mabingwa watetezi wa kombe hilo, timu ya vijana ya Mali, mchezo uliomalizika kwa sare ya bila kufungana.

MO Blog imekuwekea video hapa chini ya baadhi ya matukio yaliyojitokeza kwenye mchezo huo.

Share:

Leave a reply