VIDEO: Hotuba ya Rais Magufuli baada ya kumuapisha Kamishna wa Dawa za Kulevya

1888
0
Share:

Rais John Pombe Magufuli leo jumapili ya Februari, 12 amemuapisha Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya, Rogers William Sianga na baada ya zoezi hilo alitoa hotuba. MO Blog tayari tumekuweka hotuba hiyo na waweza kuitizama hapa chini.

Share:

Leave a reply