VIDEO: Hotuba ya Rais Magufuli na Rais Uhuru Kenyatta baada ya kuwasili Kenya

453
0
Share:

Rais John Pombe Magufuli amewasili nchini Kenya kwa ziara ya siku mbili ambapo baada ya kuwasili amezungumza na mwenyeji wake, Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta na baada ya hapo wamelihutubia taifa la Kenya kupitia vyombo mbalimbali vya habari.

Baadhi ya mambo ambayo wameyazungumza ni pamoja na ushirikiano wa Kenya na Tanzania, usalama wa kupambana na ugaidi kwa mataifa ya Tanzania na Kenya kushirikiana, kuboresha mawasiliano ya Tanzania na Kenya pamoja na kujadili mambo mbalimbali ambayo yanahusu nchi za Afrika Mashariki.

Share:

Leave a reply