VIDEO: Kocha Mayanga akitangaza kikosi cha Taifa Stars

635
0
Share:

Kocha wa Taifa Stars, Salum Mayanga ametangaza kikosi cha wachezaji 24 wa Taifa Stars watakaoingia kambini kwa ajili ya kujiandaa na michezo ya kimataifa inayoikabili timu hiyo.

MO Blog imekuwekea video hapa chini kumtizama Mayanga wakati akitangaza kikosi hicho;

Share:

Leave a reply