VIDEO: Magoli mawili ya Mbwana Samatta katika mchezo wa UEFA Europa League

5403
0
Share:

Mtanzania Mbwana Samatta usiku wakumkia ijumaa ya Machi, 10 imeisaidia timu yake ya Genk kuibuka na ushindi wa goli 5-2 dhidi ya Gent katika mchezo wa Ligi ya Vilabu Ulaya (UEFA Europa League).

Magoli ya Samatta katika mchezo huo aliyafunga katika dakika ya 41 na 72 ya mchezo huo uliopigwa katika dimba la Gent linalojulikana kama Ghelamco Arena uliopo Ghent nchini Ubelgiji.

Kutazama  magoli ya Samatta fungua video hii hapa chini.

Share:

Leave a reply