VIDEO: Magoli ya fainali ya kwanza ya Super Cup Barcelona Vs Real Madrid

396
0
Share:

Fainali ya kwanza ya Spain Supar Cup imechezwa kwa Barcelona kuwa wenyeji wa wapinzani wao Real Madrid. mchezo ambao umemalizika kwa Real Madrid kuibuka na ushindi wa goli 3-1.

Magoli ya Real Madrid yamefungwa na Gerard Pique aliyejifunga dakika ya 50, Cristiano Ronaldo dakika ya 80 na Marco Asensio dakika ya 90 huku goli pekee la Barcelona likifungwa na Lionel Messi kwa mkwaji wa penati katika dakika ya 77.

Mchezo wa marudiano wa fainali hiyo utachezwa Agosti, 17, kuangalia magoli ya fainali ya kwanza fungua video hapa chini.

Share:

Leave a reply