VIDEO: Magoli ya mchezo wa kirafiki wa Everton na Gor Mahia

1033
0
Share:

Mchezo wa kirafiki wa klabu ya Everton ya Uingereza na Gor Mahia umemalizika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam kwa Everton kuibuka na ushindi wa goli mbili kwa moja, magoli ya Everton yamefungwa na Wayne Rooney katika dakika ya 34 na Kieran Dowell kwenye dakika ya 77 huku goli pekee la Gor Mahia likifungwa na Tuyisenge Jacquer katika dakika ya 38 ya mchezo huo. MO Blog imekuwekea video ya magoli ya mchezo huo, itizame hapa chini.

Share:

Leave a reply