VIDEO: Mahojiano ya Emmanuel Okwi na Haruna Niyonzima kuhusu mechi ya Yanga

2240
0
Share:

Kuelekea mchezo wa Ngao ya Jamii utakaopigwa siku ya jumatano ya Agosti 23 katika uwanja wa Taifa Dar utakaokutanisha watani wa jadi Simba na Yanga, wachezaji wa Simba, Emmanuel Okwi na Haruna Niyonzima wamezungumza kuhusu mchezo huo, zaidi waweza kuangalia video hapa chini.

Share:

Leave a reply