VIDEO: Man United walivyokabidhiwa Kombe la Ligi 2017 (EFL)

564
0
Share:

Ni wazi Manchester United kwa mwaka 2017 umekuwa mwaka mzuri kulinganisha na miaka kadhaa iliyopita tangu kuondoka kwa aliyekuwa kocha wa klabu hiyo, Sir Alex Ferguson baada ya jumapili ya Februari, 26 kupata ubingwa wa Kombe la Ligi (EFL).

Ubingwa huo umekuja baada ya kuwafunga Southampton magoli 3-2, magoli ya Man United yakifungwa na Zlatan Ibrahimovic katika dakika ya 19, 87 na lingine likifungwa na Jesse Lingard dakika ya 38 huku magoli mawili ya Southampton yakifungwa na Manolo Gabbiadini dakika ya 45 na 48.

MO Blog tumekuwekea video jinsi Man United walivyokabidhiwa Kombe la Ligi 2017 (EFL).

Magoli ya mchezo wa fainali ya Kombe la Ligi (EFL) kati ya Manchester United na Southmpton.

Share:

Leave a reply