VIDEO: Meya wa Kigoma Ujiji amezungumza kuhusu kujitoa OGP

338
0
Share:

Meya wa Manispaa ya Kigoma Ujiji, Hussein Ruhava amezungumza kwa mara ya kwanza baada ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora George Mkuchika kutoa agizo akiitaka manispaa hiyo kujitoa katika Mpango wa Uendeshaji wa Shughuli za Serikali kwa Uwazi (OGP).

Video: Azam TV

Share:

Leave a reply