VIDEO: “Mliamua kumchagua Magufuli ndio Rais, sasa tuchape kazi”- Rais JPM

420
0
Share:

Rais Magufuli amezungumza na wananchi wa Sengsi, kata ya Akeri Nje kidogo ya Mji wa Arusha na kuwataka kuchapa kazi na kuacha mambo ya kisiasa katika shughuli za maendeleo kwani uchaguzi umeshaisha.

“Mliamua kumchagua Magufuli ndio Rais, mliamua kumchagu Nassari ndio Mbunge, mliamua kumchagua Lema ndio Mbunge, sasa tuchape kazi,” amesema Rais Magufuli.

Zaidi waweza kuangalia video hapa chini.

Share:

Leave a reply