VIDEO: Mtoto wa Diamond Platnumz aliyezaa na Hamisa Mobetto

970
0
Share:

Staa wa muziki nchini jumanne ya Septemba 19 mwaka huu amemaliza maswali ya mashabiki wa muziki nchini na Watanzania kwa ujumla kujua ukweli kuhusu mtoto ambaye mwanamitindo Hamisa Mobetto amemzaa kama ni wake au sio wake.

Jibu la Diamond ni NDIYO NI WANGU na hivyo Watanzania kupata jibu la swali walilohitaji kupata majibu kutoka kwa Diamond Platnumz.

Pamoja na hilo Diamond ametoa video ya mtoto huyo ambaye kwa mujibu wake jina alilotoa kwa mtoto ni Dayllan lakini mama wa mtoto ameamua kumpa mtoto jina la baba wa Diamond ambalo ni Abdul.

YOUNG LION!🦁

A post shared by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on

Share:

Leave a reply