VIDEO: Mwanamuziki Usher Raymond yupo nchini na familia yake

1044
0
Share:

Tanzania imeandelea kupata neema ya kutembelewa na mastaa duniani baada ya kutembelea na mwanamuziki wa Marekani, Usher Raymond kuja nchini akiwa pamoja na familia yake kwa ajili ya mapumziko.

Usher amekuwa akiweka picha na video mbalimbali kwenye akaunti yake ya Instagram akiwa maeneo mbalimbali ya Tanzania, zaidi waweza kutizama video hapa chini.

Share:

Leave a reply