VIDEO: “Nawapa pole watani wetu kwa viongozi wao kushikiliwa”- Mkwasa

1314
0
Share:

Uongozi wa klabu ya Yanga kupitia Katibu Mkuu wa klabu hiyo, Charles Boniface Mkwasa imetuma salamu za pole kwa watani zao Simba kwa viongozi wao Rais wa klabu na Makamu wake kukamatwa kwa madai ya kutumia vibaya madaraka, zaidi waweza kumtizama Mkwasa hapa chini.

Share:

Leave a reply