VIDEO: Rais Uhuru Kenyatta akipiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Kenya

654
0
Share:

Jumanne ya Agosti, 8 Wakenya wanapiga kura kumchagua Rais ambaye ataongoza kwa awamu inayofata huku wagombea wa nafasi ya Urais wakiwa nane na wenye nguvu zaidi akiwa ni Rais aliyopo madarakani kwa sasa, Uhuru Kenyatta na Raila Udinga ambaye anauwakilisha Muungano wa NASA.

MO Blog tumekuwekea video ya Rais Kenyatta akipiga kura, waweza kuitizama hapa chini.

Share:

Leave a reply