VIDEO: RC Anna Mghwira azungumza kuhusu kujiunga na CCM

479
0
Share:
Anna Mghwira

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amesema hajafanya uamuzi kama atahama ACT na kujiunga na CCM sababu majukumu yake ya kikazi yanampa uhuru kuwa chama chochote.

Vide: Azam TV

Share:

Leave a reply