VIDEO: Real Madrid ilivyokabidhiwa Kombe la Super Cup

575
0
Share:

Real Madrid imetwaa kombe la Super Cup baada ya kuifunga Manchester United goli 2-1, mchezo uliopigwa katika dimba la Telekom Arena lililopo Skopje, Macedonia.

Magoli ya Real madrid katika mchezo huo yalifungwa na Casemiro dakika ya 24 na Isco dakika ya 52 huku goli pekee la Manchester United likifungwa na Romelo Lukaku katika dakika ya 62, zaidi waweza kuangalia video ya magoli na tukio la kukabidhi kombe lilivyofanyika hapa chini.

Share:

Leave a reply