VIDEO: RPC Ruvuma apiga marufuku disko toto

384
0
Share:

Jeshi la Polisi mkoa wa Ruvuma limewatahadharisha vijana na makundi mbalimbali kutojihusisha matukio mabaya katika kuelekea sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya, juu ya matumizi sahihi ya barabara na mali zao.

Share:

Leave a reply