VIDEO: Serikali yawataka wanahabari kuzingatia weledi wa kazi

305
0
Share:

Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk. Hassan Abbas amewataka waandishi wa Habari nchini kuzingatia weledi wa kazi yao pindi wanapotekeleza majukumu yao, zaidi waweza kuangalia video hapa chini wakati akitoa onyo kwa gazeti la Mwananchi na Nipashe kwa kuandika vichwa vya habari vinavyoweza kuibua hali ya taharuki kwa wananchi.

Share:

Leave a reply