VIDEO: Simba SC walivyokabidhiwa Kombe la Ngao ya Jamii 2017

1550
0
Share:

Klabu ya Simba imeukaribisha msimu mpya wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kwa kushinda kombe la Ngao ya Jamii baada ya kuibuka na ushindi dhidi ya wapinzani wao Yanga kwa penati 5-4 baada ya dakika 90 kumalizika kwa sare ya bila kufungana.

MO Dewji Blog tumekuwekea video fupi kuona jinsi Simba SC walivyokabidhiwa kombe la Ngao ya Jamii.

Share:

Leave a reply