VIDEO: Ufafanuzi wa Serikali kuhusu sakata la vyeti feki

532
0
Share:

Kufuatia kuwepo kwa malalamiko kwa baadhi ya watumishi wa umma kutajwa kwenye orodha ya watumishi wenye vyeti feki, Serikali kupitia Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Utumishi, Dkt. Laurean Ndumbaro imetoa maelezo kuhusu jambo hilo. Zaidi waweza kuangalia video hapa
chini Dkt. Ndumbaro akitoa ufafanuzi.

Share:

Leave a reply