VIDEO: Uhuru Kenyatta alivyotangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi wa Kenya

790
0
Share:

Matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Kenya 2017 yametangazwa mabpo Uhuru Kenyatta ameshinda uchaguzi huo kwa asilimia 54% na hivyo kupata nafasi ya kuongoza kwa awamu ya pili.

MO Dewji Blog imekuwekea video ya mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Kenya, Wafula Chebukati akimtangaza Uhuru Kenyatta kuwa mshindi wa Uchaguzi Mkuu kwa kupata kura 8,203,290 (54.27%, zaidi iangalie hapa chini.

Share:

Leave a reply