VIDEO: “Umasaini ni muhimu mwanamke kuolewa akiwa amekeketwa” – Debora

810
0
Share:

Kila mtu katika maisha yake ana historia yake ya kipekee inayohusu maisha binafsi, tumekuwekea historia ya Debora ambaye yeye baba yake mzazi alikuwa akimlazimisha kuolewa tangu akiwa anasoma shule ya msingi lakini alifanikiwa kuondoka nyumbani na kupata mtu wa kumsomesha akiwa Dar.

Hapa anatuelezea jinsi ilivyokuwa na jinsi kabila la lake la Wamasaini wanavyochukulia kitendo cha ukeketaji.

Zaidi waweza kuangalia video hapa chini.

Share:

Leave a reply