VIDEO: Uwanja wa Chato kutumika kusafirisha madini

378
0
Share:

Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo amesema kuwa uwanja wa ndege wa mkoa wa Geita unaojengwa wilayani Chato utakapokamilika utatumika kusafirisha madini, watu na vifaa.

Share:

Leave a reply