VIDEO: Waziri Jafo awasimamisha kazi wakurugenzi wawili

422
0
Share:

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jafo ametekeleza agizo la Rais Dkt. John Pombe Magufuli la kuwasimamisha kazi wakurugenzi wa halmashauri mbili za wilaya ya Kigoma na Pangani baada ya ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Prof. Musa Assad kuzitaja halmashauri hizo kuwa na hati chafu.

Share:

Leave a reply