VIDEO: Waziri Mpina kuhusu uchomaji wa vifaranga kutoka Kenya

245
0
Share:

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina amesema serikali ilichoma vifaranga 6,400 kutoka Kenya ili kuzuia magonjwa ya ndege lakini pia mmiliki hakuwa na vibali na vifaranga havikukaguliwa.

Share:

Leave a reply