VIDEO: Waziri Ummy katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike

368
0
Share:

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amekuwa mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike 2017 ambayo kitaifa imefanyika wilayani Tarime, Mara. MO Blog tumekuwekea video ya alichozungumza Waziri Ummy katika maadhmisho hayo.

Share:

Leave a reply