VIDEO: Ziara ya Waziri Nape sokoni Kariakoo kukagua filamu zisizo stika ya TRA

152
0
Share:

Katika hali ambayo haikutarajiwa na watu wengi, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mh. Nape Nnauye amefanya ziara katika soko la Kariakoo akiwa na lengo la kuwafichua wafanyabiashara wote wa ilamu ambazo hazina stika za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

Waziri Nape alisema serikali ya awamu ya tano ina malengo ya kuhakikisha inakusanya kodi ili iweze kufanya shughuli nyi za maendeleo hivyo ni lazima bidhaa zote ziwe na stika ya TRA ili kuonyesha imelipiwa kodi na wote ambao wanafanya tofauti na hivyo ni wahujumu uchumi.

Mo Blog imekuwekea video kuona jinsi ziara ya Waziri Nape ilivyokuwa,

Share:

Leave a reply