Wafanyakazi bora Konyagi wapongezwa

148
0
Share:

Kampuni ya kutengeneza vinywaji ya TDL kilichopo chini ya TBL Group imewapongeza wafanyakazi wake bora katika msimu huu ambapo imewatunukia zawadi mbalimbali katika hafla iliyofanyika katika kiwanda cha Konyagi kilichopo jijini Dares Salaam

Akiongea wakati wa hafla hiyo Mkuu wa Idara ya Uhandisi wa kampuni hiyo aliwapongeza kwa kufanya kazi kwa bidii na kuongeza kuwa kampuni inathamini mchango wa kila mfanyakazi wake na ndio maana imekuwa na utaratibu wa kuwapatia tuzo mbalimbali.

Wafanyakazi hao walishukuru mwajiri wao kwa kuthamini na kutambua mchango wanaoutoa kwa kampuni.

Meneja idara ya  uhandisi  wa Kiwanda cha Konyagi  cha  jijini Dar es Salaam, Aranyaeli Ayo

Meneja idara ya  uhandisi  wa Kiwanda cha Konyagi  cha  jijini Dar es Salaam, Aranyaeli Ayo (kushoto)   akikabidhi zawadi kwa wafanyakazi  bora wa kampuni hiyo , Katikati ni  ofisa rasilimali watu  Anna Magari . Hafla hiyo ilifanyika kiwandani hapo jana.

KONYAGI 3

KONYAGI 6

Aranyaeli Ayo

KONYAGI 2

Wafanyakazi bora wa kampuni ya Konyagi katika picha ya pamoja na Maofisa wa kampuni hiyo  muda mfupi baada ya kutunukiwa zawadi

Share:

Leave a reply