Wafanyakazi TBL wafurahia burudani za usiku wa mwambao

293
0
Share:
TBL, Usiku wa Mwambao

Pichani juu na chini ni Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya bia Tanzania TBL wakipata madafu wakati wa  usiku wa mwambao ambao umetayarishwa  kwa ajili ya kuwapatia burudani baada ya saa za kazi uliofanyika jijini Dar es Salaam katika kiwanda cha bia cha Ilala jana.

Mwambao 1

mwambao 3

mwambao 4

Wapagaishwa na burudani ya taarabu kutoka kutoka kundi la Jahazi

mwambao 7

Mmoja wa wafanyakazi wa  TBL akimpongeza mwimbaji nguli wa muziki wa taarabu kutoka  kundi la Jahazi, Leila Rashid  wakati wa tamasha la usiku wa Mwambao uliowashirikisha wafanyakazi wa kampuni hiyo.

mwambao 8

Mwimbaji wa muziki wa taarabu kundi la Jahazi Modern Taarabu, Leila Rashid akiwapagawisha wafanyakazi wa Kampuni ya TBL wakati wa tamasha la Usiku wa Mwambao.

mwambao 11

mwambao 13

Wafanyakazi wa TBL wakifuatilia kwa makini burudani za usiku wa mwambao ambao uliandaliwa kwa ajili ya kuwaburudisha baada ya saa za kazi.

mwambao 14

Share:

Leave a reply