Waliotumikia TBL Group muda mrefu wapewa tuzo

407
0
Share:

Kampuni ya TBL Group imewatunukiwa tuzo wafanyakazi wake tuzo wafanyakazi wake waliotumikia kampuni kwa muda mrefu na kwa uadilifu katika vipindi vya kuanzia miaka kumi hadi 20 kwa kuthamini mchango wao walioutoa kwa kampuni.Hafla ya kuwakabidhi vyeti vya tuzo ilifanyika katika kiwanda cha TBL cha Ilala jijini Dar es Salaam.

tuzo-tbl-2Mkurugenzi wa Mauzo na Usambazaji wa TBL Group Gareth Jones wa pili (kushoto) akimkabidhi Meneja Masoko wa TBL Fimbo Butallah cheti cha ukumbusho wa kutimiza miaka 15 kazini    wakati wa hafla  ya kuwatunuku wafanyakazi wa muda mrefu iliyofanyika  Ilala jijini Dar es Salaam,wanaoshudia kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Chibuku David Cason na Meneja wa Kiwanda cha bia cha Ilala Calvin Martin.

tuzo-tbl-3Rose Mhina akipokea cheti cha kutimiza miaka kumi kazini.

tuzo-tbl-4Sophia Nkya akikabidhiwa cheti cha ukumbusho wa kutimiza miaka 10 kazini.

tuzo-tbl-5Calvin Nkya (wapili kulia) akikabidhiwa cheti cha ukumbusho wa kutimiza miaka 20 kazini.

tuzo-tbl-6Mkurugenzi Mtendaji wa DarBrew David Cason (kushoto) akimkabidhi Tito Kasele cheti cha ukumbusho wa kutimiza miaka 20 kazini.

tuzo-tbl-8Mtaalamu wa Uzalishaji bora wa TBL Group Charles Nkondola akipokea cheti cha kutimiza miaka 20 kazini.

tuzo-tbl-9Mfanyakazi,Tom Matechi,akipokea cheti kwa utumishi wa miaka 20.

tuzo-tbl-10Bw.Fabian Mwakatuma (wapili kulia) akikabidhiwa cheti cha ukumbusho wa kutimiza miaka 20 kazini.

tuzo-tbl-011Praise Urassa akipokea cheti kwa kutumikia kampuni miaka  20.

tuzo-tbl-12Conchesta Ngaiza akipokea cheti cha ukumbusho wa kutimiza miaka 20 kazini.

tuzo-tbl-13John Malissa akipokea cheti cha ukumbusho wa kutimiza miaka 20 kazini.

tuzo-tbl-17Baadhi ya wafanyakazi wa TBL Group waliotunukiwa vyeti kwa kufanya kazi muda mrefu wakiwa kwenye picha ya pamoja.

Share:

Leave a reply