Watumishi hewa 111 wabainika Mkoani Kilimanjaro (Video)

417
0
Share:

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Mh. Said Mecky Sadick abainisha uwepo wa watumishi hewa 111 katika utumishi wa umma mkoani humo. Hii ni baada ya agizo la Rais Dk. John Pombe Magufuli kuwataka wakuu hao wa mikoa kuhakikisha wanawatondoa wafanyakazi wote ambao sio wafanyakazi halali (hewa).

Share:

Leave a reply