Wazazi wa Naibu Waziri wa Ardhi watimiza miaka 71 ya ndoa yao

208
0
Share:

Katibu wa Chama cha Mashujaa waliopigana Vita kuu ya pili ya Dunia 1938 hadi 1945 ambaye ni Baba Mzazi wa Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline Mabulla, Mzee Sylvester Lubala  na Mkewe Cecilia Lubala wametimiza Miaka 71 ya ndoa yao iliyofungwa mwaka 1946.

Hafla ya kuadhimisha miaka 71 ya ndoa hiyo imefanyika katika hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam na kuhudhuliwa na watu maarufu pamoja na Viongozi mabilmbali wa kitaifa wakiwemo Mawaziri na Wabunge wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Share:

Leave a reply