Waziri Kairuki na Balozi wa Japan wajadili fursa za uwekezaji kwenye sekta ya madini

294
0
Share:
Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaharu Yoshida, amemtembelea Ofisi za Wizara ya Madini za jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo na Waziri wa Madini, Angellah Kairuki na Naibu wake, Stanslaus Nyongo ambapo walijadiliana masuala mbalimbali ikiwemo fursa za uwekezaji kwenye Sekta ya Madini nchini.
Waziri wa Madini, Angellah Kairuki (kulia) na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaharu Yoshida (kushoto) wakimsikiliza Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo (hayupo pichani).
Waziri wa Madini, Angellah Kairuki (Kushoto) akizungumza jambo wakati wa mkutano na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaharu Yoshida (hayupo pichani). Kulia ni Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo.
Share:

Leave a reply