Waziri Mkuu Majaliwa afuturu pamoja na viongozi wa Kamati ya Amani ya viongozi wa dini

338
0
Share:

Waziri Mkuum Kassim  Majaliwa amekutana na  viongozi wa Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini ya mkoa wa Dar es salaam, ambapo ameweza kufuturu nao pamoja katika Futari iliyoandaliwa na Waziri Mkuu kwenye makazi yake jijini Dar es salaam Jioni ya Juni10, 2016.

IMGS0685

Waziri Mkuum Kassim  Majaliwa akisalimiana  na Katibu Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini ya mkoa wa Dar es salaam, Padri John Solomon wa Kanisa la Anglikani (kulia) na Mwenyekiti wa Kamati  hiyo, Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam , AlhajiMussa Salum katika Futari iliyoandaliwa na Waziri Mkuu kwenye makazi yake jijini Dar es salaam Juni10, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

IMGS0695 IMGS0697

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na baadhi ya waalikwa waliohudhuria futari aliyoiandaa kwenye makazi yake jiji Dar es salaam  10, 2016.

IMGS0698

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na baadhi ya waalikwa waliohudhuria futari aliyoiandaa kwenye makazi yake jiji Dar es salaam  10, 2016.

IMGS0720 IMGS0735

Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa  akisalimiana na baadhi ya waalikwa walioshiriki katika futari  iliyoandaliwa na  Waziri Mkuu kwenye Makazi  yake jijini Dar es salaam Juni 10, 2016. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke Sophia Mjema. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

IMGS0745

Mke wa Waziri Mkuu,  Mary  Majaliwa  akiwa na baadhi ya  waalikwa  katika  futari ilyoandaliwa na  Waziri Mkuu, kwenye makazi yake  jijini Dar es salaam  Juni 10, 2016.  Wapili kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema. (Picha na Ofisi ya Waziri  Mkuu)

IMGS0749

Baadhi ya  waalikwa  wakishiriki katika futari  iliyoandaliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye makazi yake  jijini Dar es salaam Juni 10, 2016

IMGS0770

Waziri Mkuu Kassim Majliwa akisalimiana na  Bw. Seif Ali Seif   katika futari  aliyoiandaa kwenye makazi yake jijini Dar es salaam Juni 10, 2016

IMGS0807

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimian na  Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymound Mushi  katika futari aliyoiandaa kwenye makazi yake jijini Dar es salaam Juni 10, 2016. Kushoto ni Sheikh  wa mkoa wa Dar es salaam, Alhaji Mussa Salum.

IMGS0808

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimian na  Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymound Mushi  katika futari aliyoiandaa kwenye makazi yake jijini Dar es salaam

IMGS0856

Mke wa Waziri Mkuu, Mary Majaliwa (kushoto) akisalimiana na  Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema  katika futari aliyoiandaa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye makazi yake jijini Dares salaam Juni 10, 2016

IMGS0868

Waziri Mkuu, Kassim Majlaiwa akisalimina na Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema katika fuatari aliyoiandaa kwenye makazi yake jijini Dar es salaam Juni 01, 2016. Kulia ni mkewe Mary.

IMGS0885

Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Happi  (kushoto) na Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es salaam , Simon Siro katika futari  aliyoiandaa kwenye makazi yake jijini Dar es salaam Juni 10, 2016.

IMGS0887

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Kamanda  wa Kanda Maalum  ya  Dar es salaam , Simon Siro  katika futari aliyoiandaa kwenye Makazi yake  jijini  Dar es salaam Juni 10, 2016.  Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Happi (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

IMGS0893

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa Jumuiya  ya Wazazi Tanzania , Abdallah Buelembo katika futari aliyoiandaa kwenye makazi yake  jijini Dar es salaam Juni 10, 2016.

Share:

Leave a reply