Waziri Mpango awasilisha taarifa ya umiliki wa kampuni ya Airtel kwa Rais Magufuli

166
0
Share:

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Phillip Mpango amesema Serikali imejiridhisha kuwa ubinafsishaji wa Shirika la Simu Tanzania (TTCL) kwenda Celtel, baadaye kuhamishiwa Zain na sasa Airtel ulifanyika kwa ukiukwaji mkubwa wa sheria, kanuni na taratibu.

Share:

Leave a reply