Waziri Mwakyembe aipongeza Zanzibar Heroes

183
0
Share:

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe ameipongeza timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) kwa kufika fainali na kuwa mshindi wa pili wa mashindano ya CECAFA yaliyofanyika nchini Kenya.

Share:

Leave a reply