Waziri Mwakyembe na Diamond Platnumz wamaliza tofauti

484
0
Share:

Waziri Mwakyembe leo amekutana na mwanamuziki Diamond Platnumz kwa lengo la kurejesha maelewano kwenye tasnia ya sanaa ya mziki nchini kufuatia hatua zinazochukuliwa na wizara kuzuia baadhi ya kazi za sanaa zinazoonekana kukiuka maadili ya nchi.

Share:

Leave a reply