Waziri Nape awaasa wanajeshi wanamichezo kudumisha nidhamu

209
0
Share:

Nape Nnauye

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akisalimiana na Kaimu Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania Meja Generali Simon Mumwi wakati wa hafla uzinduzi wa mashindano ya CDF Cup 2016 jana jijini Dar es Salaam.Kutoka kulia ni Mkuu wa Utendaji Kivita na Mafunzo, Meja Generali Issa Nassor na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Alex Nkenyenge.

Alex Nkenyenge

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo, Alex Nkenyenge (kulia) akiteta jambo na Kaimu Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania Meja Generali Simon Mumwi wakati wa hafla uzinduzi wa mashindano ya CDF Cup 2016 jana jijini Dar es Salaam.

Mh. Nape Nnauye

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza na wanajeshi wanamichezo wakati wa hafla ya uzinduzi wa mashindano ya CDF Cup 2016 jana jijini Dar es Salaam.Michuano hiyo inatumiwa na Jeshi hilo kutafuta wachezaji wa Timu ya Taifa ya majeshi itakayoshiriki mashindano ya timu za majeshi Afrika Mashariki mapema mwezi Agosti Kigali nchini Rwanda.

Simon Mumwi

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akimsikiliza kwa makini Kaimu Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi wa Wananchi Tanzania Meja Generali Simon Mumwi wakati wa hafla ya uzinduzi wa mashindano ya CDF Cup 2016 jana jijini Dar es Salaam.

Issa Nassor

Mkuu wa Mafunzo na Utendaji Kivita wa Jeshi la Wananchi Tanzania Meja Generali Issa Nassor akizungumza jambo wakati wa hafla ya uzinduzi wa mashindano ya CDF Cup 2016 jana jijini Dar es Salaam.

Waziri Nape Nnauye

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akifurahia onyesho la grwaride la kimyakimya  huku Kaimu Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi wa Wananchi Tanzania Meja Generali Simon Mumwi (kulia kwake) akimfafanulia jambo  jana jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya uzinduzi wa mashindano ya CDF Cup 2016.

PIX5

Kikundi cha wanajeshi kikifanya onyesho la Gwaride la kimyakimya mbele ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye(hayupo pichani) aliyekuwa mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa mashindano ya CDF Cup 2016 jana jijini Dar es Salaam.

Waziri Nape

Wanajeshi wakionyesha picha ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye aliyotokana na mchezo wa Kiini macho wakati wa hafla ya uzinduzi wa mashindano ya CDF Cup jana jijini Dar es Salaam.

Mh. Nnauye

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akionyesha picha yake aliyokabidhiwa na mmoja wa wanajeshi wakati wa hafla ya uzinduzi wa mashindano ya CDF Cup 2016 jana jijini Dar es Salaam.Picha hiyo imetokana na onyesho la mchezo wa kiini macho.

Timu za Brigedi ya Tembo na JKT

Timu za Brigedi ya Tembo na JKT zikiingia uwanjani tayari kwa mpambano wa ufunguzi wa mashindano ya CDF Cup 2016 yaliyonza katika uwanja wa Uhuru jana jijini Dar es Salaam. Michuano hiyo inatumiwa na Jeshi hilo kutafuta wachezaji wa Timu ya Taifa ya majeshi itakayoshiriki mashindano ya timu za majeshi Afrika Mashariki mapema mwezi Agosti Kigali nchini Rwanda.

Nape akisalimia timu

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akikagua timu tayari kwa kuanza kwa pambano la ufunguzi baina ya Timu ya Tembo Brigedi na JKT jana jijini Dar es Salaam.

Mh Nape Nnauye akitoa mawaidha

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akitoa mawaidha kwa wachezaji wa timu za Tembo Brigedi na JKT kabla ya kuanza pambano lao jana jijini Dar es Salaam.

PIX9b

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiwa katika picha ya pamoja na  wachezaji wa timu za Tembo Brigedi na JKT kabla ya kuanza pambano lao la ufunguzi wa mashindano ya CDF Cup 2016 jana jijini Dar es Salaam. Michuano hiyo inatumiwa na Jeshi hilo kutafuta wachezaji wa Timu ya Taifa ya Jeshi itakayoshiriki mashindano ya timu za majeshi Afrika Mashariki mapema mwezi Agosti Kigali nchini Rwanda. (Picha na: Frank Shija, WHUSM).

Share:

Leave a reply