Waziri wa afya akutana na Balozi wa Uingereza kwake Dar

281
0
Share:

Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu amekutana na Balozi wa Uingereza nchini Bi.Sarah Cooke  na kufanya mazungumzo Ofisini kwake kwa ajili ya  kujadili jinsi ya kutatua changamoto katika sekta ya afya hususani katika maeneo ya Afya ya Mama na Mtoto, Lishe, Usafi wa Mazingira, Malaria na  masuala ya HIV Aids.

Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu katika mazungumzo hayo ofisini kwake na Balozi wa Uingereza hapa nchini.

Mazungumzo yakiendelea

Mazungumzo hayo yakiendelea

Balozi wa Uingereza nchini Bi.Sarah Cooke  (kulia) akiwa katika mazungumzo hayo na Waziri wa Afya anayefuatia wakijadili masuala mbalimbali iikiwemo  Afya ya Mama na Mtoto, Lishe, Usafi wa Mazingira, Malaria na  masuala ya HIV Aids.

Share:

Leave a reply