Waziri wa Afya Mhe.Ummy Mwalimu afanya ziara Wilaya za Mwanga na Same (Picha)

340
0
Share:

Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu ametembelea hospitali za Wilaya za Mwanga na Same Mkoani Kilimanjaro.

IMG-20160705-WA0029Waziri wa Afya akiongea na watumishi wa hospitali ya wilaya(hawapo pichani) aliwasisitiza watumishi wa sekta  ya afya kufanya kazi kwa vitendo na kutekeleza sera ya afya na miongozo ya utoaji huduma za afya, kushoto ni Kaimu Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro Mhe.Kippi Warioba na kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Mwanga Mhe.Aaron Mmbaga

IMG-20160705-WA0032Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto, Mhe.Ummy Mwalimu akikagua hospitali ya wilaya ya Mwanga,kulia (mwenye sweta) ni Mganga Mkuu wa Wilaya Dkt.Daniel Chacha

IMG-20160705-WA0034Waziri Ummy Mwalimu akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa Mkoa,Wilaya na baadhi ya watumishi wa hospitali ya Wilaya (Picha zote,Wizara ya Afya)

IMG-20160705-WA0038Waziri Ummy Mwalimu  akizungumza na baadhi ya wagonjwa waliolazwa kwenye hospitali ya Wilaya Usangi

Share:

Leave a reply