Waziri wa Habari Mh. Nape Nnauye akutana na wasambazaji wa filamu na muziki nchini

202
0
Share:

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye amefanya mkutano na wasambazaji wa filamu na muziki nchini  tukio lililofanyika jijini Dar es Salaam ambapo waliweza kujadili  namna gani ya kuboresha tasnia hiyo kwa manufaa ya wasanii, wasambazaji na uchumi wa Taifa.

nape 5

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye akiangalia moja ya kazi za wasambazaji. Kulia ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Bi. Joyce Fissoo

nape 4

Baadhi ya wasambazaji wa filamu na miziki nchini wakitoa mchango wao wa jinsi ya namna gani ya kuboresha tasnia ya filamu na muziki wakati wa mkutano na Mh. Nape Nnauye hayupo pichani kwa faida ya uchumi wa wasanii, wasambazaji na Taifa kwa ujuml

nape 6

Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu nchini Bi. Joyce Fissoo akimuonyesha Mh. Waziri moja ya vielelezo vinavyotumika kupanga madaraja ya filamu mbalimbali kutokana na ubora wa filamu husika wakati wa  mkutano kati Wizara na wasambazaji hao uliojadili namna gani ya kuboresha tasnia hiyo kwa manufaa ya wasanii, wasambazaji na uchumi wa Taifa

nape 3

Baadhi ya wasambazaji wa filamu na miziki nchini wakitoa mchango wao wa jinsi ya namna gani ya kuboresha tasnia ya filamu na muziki wakati wa mkutano na Mh. Nape Nnauye hayupo pichani kwa faida ya uchumi wa wasanii, wasambazaji na Taifa kwa ujumla.

nape 2

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye akiongea na wasambazaji wa filamu na muziki nchini wakati wa mkutano kati yake na wasambazaji hao uliojadili namna gani ya kuboresha tasnia hiyo kwa manufaa ya wasanii, wasambazaji na uchumi wa Taifa, katikati  ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Bi. Joyce Fissoo. .(Picha zote na Benjamin Sawe- WHUSM)

Share:

Leave a reply