Wizara ya Biashara Zanzibar yatoa mafunzo ya uandaaji wa sera mpya ya viwanda

262
0
Share:

Wizara ya Biashara, viwanda na masoko Zanzibar kupitia  Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Viwanda (UNIDO) wametoa mafunzo ya namna ya uandaaji wa Sera mpya ya viwanda.

Mafunzo hayo yamefanyika Mjini hapa katika ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip Malindi, Zanzibar.

1Afisa miradi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Viwanda (UNIDO) Andrea Antonelli akitoa maelezo mafupi kwa Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko Amina Salum Ali juu ya mafunzo ya wiki moja ya uandaaji wa sera mpya ya Viwanda Zanzibar yaliyofanyika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Malindi Zanzibar.

Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko Amina Salum Ali akifunga mafunzo hayo..

ZanzibarWaziri wa Biashara, Viwanda na Masoko Amina Salum Ali akifunga mafunzo ya wiki moja ya uandaaji wa sera mpya ya Viwanda Zanzibar yaliyojumuisha watendaji wa Serekali na wamiliki wa viwanda.

Picha na Makame Mshenga/Maelezo Zanzibar.

Share:

Leave a reply