Wizara ya Elimu yasema haitambui taasisi ya mikopo ya TSSF

374
0
Share:

Wizara ya Elimu imesema haitambui taasisi ya Tanzania Social Support Foundation (TSSF) ambayo inajitangaza kuhusika na kutoa mikopo yenye riba nafuu kwa wanafunzi wa Elimu ya Juu.

Share:

Leave a reply