Yaliyoajili Bungeni leo Jun 31.2016

282
0
Share:

TBC: Je, ni utaratibu gani EWURA inatumia kupanga bei ya umeme ncini ? Naibu waziri  nishati na madini Dkt.Medard Kalimani anafafanua ; https://youtu.be/9vfH0mLy4RM

SIMU.tv: Naibu Waziri Mhe. Luhaga Mpina akiwasilisha taarifa ya mwaka wa fedha zilizo kakugulia za baraza la taifa la hifadhi na usimamizi wa mazingira  mwaka 2015; https://youtu.be/zPTV9k3FuBw

SIMU.tv: Je ni mfumo upi ulioweka na serikali kwa mishahara ya wafanyakazi wa viwandani na kampuni binafsi? Naibu waziri Athony Mavunde anafafanua; https://youtu.be/_RrQcgc4hu8

SIMU.tv: Mbunge wa viti maalumu Mhe. Mariam Kisangi aibana serikali kuhusu mama Ntilie na machinga wanaosumbulia na mgambo wa jiji; https://youtu.be/Xurkil5lGMo

SIMU.tv: Je,serikali ina mpango gani wa  kuendeleza bonde la mto Luhuhu kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji? Naibu waziri Mhandisi Kamwelwe anafafanua; https://youtu.be/ybsR61DQnMg

SIMU.tv: Sakata la kufunga na kuyaondoa machimbo ya madini ya ujenzi yaliyopo Kigamboni yanayotoa malighafi muhimu kwa ujenzi lachukua sura mpya bungeni. https://youtu.be/dh5QO971QKI

SIMU.tv: Ikiwa khanga ni vazi la asili kwa mwanamke wa kitanzania, je serikali ina mkakati gani wa kuhakikisha uzalishaji bora wa Khanga nchini? https://youtu.be/7ef-O3ZderI

TBC: Mhe. Manyanda Masele aihoji serikali juu ya usanifishaji na upembuzi yakinifu wa miundombinu ya barabara wilayani Mbogwe mkoani Geita. https://youtu.be/_ofj2ooj8Y8

SIMU.tv: Eng. Masauni atoa tamko la serikali juu ya uwepo wa vifo vyenye utata vya kisiasa vya wapinzani visivyopewa kipaumbele katika upelelezi. https://youtu.be/rEJVuvvw0YY

SIMU.tv: Hotuba ya waziri mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akizungumzia  suala la upinzani nchini hususani wabunge kususia vikao  vya bunge; https://youtu.be/k7NXxYvAOp0

SIMU.tv: Fahamu alichokisema waziri mkuu Mhe.Kassim Majaliwa kuhusu mpango wa pili wa maendeleo ya taifa wa miaka mitano ikiwemo suala la kodi; https://youtu.be/p2iefVT1g0M

SIMU.tv: Waziri mkuu Kassim Majaliwa  akizungumzia suala la maadili kwa viongozi na watumishi wa umma na suala la mahakama maalumu ya mafisadi nchini; https://youtu.be/xuSDxPKMEcc

SIMU.tv: Fahamu kauli ya serikali kuhusu hali ya chakula nchini pamoja na suala la kuongeza uzalishaji wa sukari katika kukabiliana na uhaba wa bidhaa hiyo; https://youtu.be/HvD_sRgR78A

SIMU.tv: Hotuba ya waziri mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumzia suala la viwanda nchini  kwa lengo la kukuza uchumi wa taifa;https://youtu.be/eUnXAi5DdhA

SIMU.tv: Waziri mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumzia suala la serikali kuendeleza mpango wake wa umeme vijijini REA;https://youtu.be/LARzJSKK1pY

SIMU.tv: Sehemu ya hotuba ya Waziri mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumzia akizungumzia suala la mkopo wa wanafunzi waa elimu ya juu; https://youtu.be/oXk8wDjqNGE

Share:

Leave a reply