Yanga 0-1 TP Mazembe mchezo kipindi cha pili

189
0
Share:

Mpambano wa kombe la Shirikisho barani Afrika kati ya Yanga ya Tanzania na Tp Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia  ya Congo ambao unaendelea muda huu uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam, tayari ni kipindi cha pili cha mchezo huo huku timu ya Yanga ikiwa nyuma kwa kufungwa bao bao 1 na TP Mazembe.

Bao la TP Mazembe limefungwa dakika ya 27 ya kipindi cha pili.

Share:

Leave a reply