Zantel yatoa Mbuzi kwa wateja

252
0
Share:

Kampuni ya simu ya ZANTEL yafikia kilele cha Jibwage na mbuzi kwa kuwazawadia wateja wake walioshiriki promosheni hiyo jumla ya mbuzi 400 pamoja na kutoa mbuzi 100 katika vituo mbali mbali vya watoto Yatima nchini.

imgp9984

Mkurugenzi wa mauzo wa Zantel, Ibrahim Attas (kulia) akikabidhi mbuzi kwa mshindi, Aly Rashid jana.

imgp9978

Mkuu wa Zantel Zanzibar, Mohamed Mussa Baucha (wa pili kulia) akikabidhi mbuzi kwa washindi wa promosheni ya jibwage na mbuzi. Kulia kwenda kushoto ni Abdalla Yussuf, Arafa Mohamed Dadi na Abrahman Mohamed Abdalla.

imgp9980

Meneja mauzo wa Zanztel, Yussuf Ismail (kulia) akikabidhi mbuzi wa mshindi, Hemed Ali Omar jana.

imgp9983

Mbuzi wanaosubiri kuchukuliwa na wateja waliopata ushindi wa promosheni ya jibwage na mbuzi.

zulfa

Afisa Habari na Mawasiliano wa Zantel, Winnes Lyaro (wa pili kushoto) akikabidhi mbuzi mshindi Bi. Zulfa mkazi wa Dar huku wateja wengine waliopata nafasi ya kushindi kwenye promosheni ya jibwage na mbuzi wakipozi katika picha ya pamoja.

ahamad-ali-shehe

Afisa Habari na Mawasiliano wa Zantel, Winnes Lyaro (wa nne kulia) akikabidhi mbuzi mshindi Ahamad Ali Shehe (wa tatu kulia) mkazi wa Dar huku wateja wengine waliopata nafasi ya kushindi kwenye promosheni ya jibwage na mbuzi wakipozi katika picha ya pamoja na zawadi zao.

bimkubwa-abeid

Afisa Habari na Mawasiliano wa Zantel, Winnes Lyaro (wa kwanza kushoto) akikabidhi mbuzi mshindi Bimkubwa Abeid (wa pili kushoto) mkazi wa Dar huku wateja wengine waliopata nafasi ya kushindi kwenye promosheni ya jibwage na mbuzi wakipozi katika picha ya pamoja na zawadi zao.

Share:

Leave a reply